Mawasiliano

Ndugu Msomaji wa Blogi hii.,
Unaweza kuwasiliana na viwawa wa Mt. Yudathadei kwa kutumia njia zifuatazo ambazo zimeorodheshwa hapo chini. Unaweza kuwasiliana nasi kwa lengo la kubadilishana mawazo, kupeana ushauri na mambo mengine mengi katika kujenga umoja na upendo katika utume huu wa vijana katika Kanisa Katoliki na Jamii kwa ujumla.
Anuani:
VIWAWA WA MT. YUDA THADEI
KIGANGO CHA MPIJI MAGOHE
PAROKIA TARAJIWA YA MSAKUZI
S.L.P ....... DAR ES SALAAM

Namba za simu:
M/kiti viwawa: 0787 303199/ 0772 303199
Katibu viwawa: 0713 834457
Katibu Msaidizi:0763 056849

Barua pepe:
viwawampiji.yudathadei@gmail.com


Viongozi wa viwawa Mpiji Magohe katika picha pamoja na viwawa wa Kigogo(31.5.2015), Mlezi wa vijana Mpiji Magohe, Paroko Msaidizi, Katibu wa Kigango cha Mpiji Magohe, Katekista wa Mpiji Magohe,Walezi wa viwawa toka Kigogo, Sista toka Kigogo na viongozi wa viwawa toka Kigogo. Mapendo sana






1 comment: