Katika Blog hii utaweza kupata taarifa mbalimbali za viwawa, pia utaweza kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu vijana wakatoliki pamoja na mambo mengine mengi yahusuyo imani. Karibuni tuwe pamoja katika kujijenga kiimani.
Mapendo sana. "BASI MTIINI MUNGU"
MISA YA SHUKRANI: Tarehe 27.12.31 vijana tuliadhimisha misa ya shukrani katika kanisa la kigango cha Msakuzi na ni siku ambayo vijana toka vigango vitatu(mpiji, msakuzi na mshikamano) viliungana na kuunda kwaya ya vijana ya pamoja ambayo iliongoza misa hiyo. Na sasa kila kigango kinaenda kuwa na kwaya yake ya vijana. tujitoe katika uimbaji.